Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 2,136
- 5,545
Waliobaki ni wamegeukia ulokolekwani hajabaki hata mmoja ukamuombe mbinu
Waliobaki ni wamegeukia ulokolekwani hajabaki hata mmoja ukamuombe mbinu
oooh pole mwayaWaliobaki ni wamegeukia ulokole
Apo siezi powa 😔oooh pole mwaya
tufanyaje sasaApo siezi powa 😔
Imebidi nmefurahi 😂😂😂tufanyaje sasa
Inaonekana we ni mtu powa sana kibibi. 🫶tufanyaje sasa
kwanini kibabu😅😅 mi nipo kawaida tuInaonekana we ni mtu powa sana kibibi. 🫶
furaha yako ni furaha yangu pia 🤗Imebidi nmefurahi 😂😂😂
Hiyo text moja tu imefanya nione ulivojaaliwa ukarimu.kwanini kibabu😅😅 mi nipo kawaida tu
hahah no comment kwa kwelii, ila nipo kawaida mnoHiyo text moja tu imefanya nione ulivojaaliwa ukarimu.
Waaoooh 🫶furaha yako ni furaha yangu pia 🤗
Hiyo kawaida ndiyo imefanya nidondokee kwako 😂hahah no comment kwa kwelii, ila nipo kawaida mno
hiyo mizizi nitaimwagilia maji na kutia mbolea hata wakisema waitoe isiwezekaneWaaoooh 🫶
Furaha yako naithamini laazizi,
Kwako wewe nasimika mizizi
muone😄😄Hiyo kawaida ndiyo imefanya nidondokee kwako 😂
Acha basi 😂😂hiyo mizizi nitaimwagilia maji na kutia mbolea hata wakisema waitoe isiwezekane
Muone vile umeumbika, nafurahia uwepo wapo kwenye hili giza totoro just us , nkushike unishike, nakuita unaitika , nakupea unapokea,muone😄😄
una maneno mno kibabu😅Muone vile umeumbika, nafurahia uwepo wapo kwenye hili giza totoro just us , nkushike unishike, nakuita unaitika , nakupea unapokea,
aagh balaa aty