win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,126
- 31,063
kaniaga anaenda kuangalia mpira ila camera zimemnasa yupo M/city nasubiri aje anieleze vizuri 😪Mumeo hajambo?
kaniaga anaenda kuangalia mpira ila camera zimemnasa yupo M/city nasubiri aje anieleze vizuri 😪Mumeo hajambo?
Mbona wewoooo😅😅kaniaga anaenda kuangalia mpira ila camera zimemnasa yupo M/city nasubiri aje anieleze vizuri 😪
Leo shift mpo mabinti tu00:07 ni huzuni😓View attachment 3626659
Mimi sio binti mwaya! Na ndio naaga mashindano!Leo shift mpo mabinti tu
unanicheka badala unihurumie😪Mbona wewoooo😅😅
Huruma sio malezi diha I'm out ✋️unanicheka badala unihurumie😪
Kabisa!Hakika hili dongo limemfikia mlengwa😂
View attachment 3626660
ouky see yuhHuruma sio malezi diha I'm out ✋️
mbona haulaliNaam kibibi .
Nasubiri kuegesha hili fuvu kwenye yako majapa.mbona haulali
njooNasubiri kuegesha hili fuvu kwenye yako majapa.
Wazee wangenipa mikoba nisingeanza kuwaza nafikaje apo .njoo
kwani hajabaki hata mmoja ukamuombe mbinuWazee wangenipa mikoba nisingeanza kuwaza nafikaje apo .