Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,918
- 7,750
Naangalia mtanange huuukumbe unatufuatilia kwa ukaribu sana eeh 😅😅😅
Naangalia mtanange huuukumbe unatufuatilia kwa ukaribu sana eeh 😅😅😅
Vipicha ndo vilinisanua😅 Hadi muandiko umebadilisha.sa kitu chako ukashindwa kukifahamu kweli jamni?🤔 you can't be serious 😅
vizuri sana 🤣Naangalia mtanange huuu
hahahaha kwani muandiko wa zamani ulikuaje🤭 una mambo ujue😅Vipicha ndo vilinisanua😅 Hadi muandiko umebadilisha.
Muandiko wa majani🌚hahahaha kwani muandiko wa zamani ulikuaje🤭 una mambo ujue😅
🤣🤣🤣🤣 jinga sana wew,, saivi nimechange kila kituMuandiko wa majani🌚
Hatimaye umekuja mjini🤣🤣🤣🤣🤣 jinga sana wew,, saivi nimechange kila kitu
mjini ndo wapi? mi sijabadili mazingiraHatimaye umekuja mjini🤣
Ubarikiwe sana, upate mapacha 1,000!Hata kalaki tu mimi kananitosha tajeer😍
Shape letu la twiga liko pale pale...😋mjini ndo wapi? mi sijabadili mazingira
Nipate tena?Ubarikiwe sana, upate mapacha 1,000!
leo tu nimetoka kusemwa natembea kwa kuyumba kama twiga nimemind hatari😄😄Shape letu la twiga liko pale pale...😋
Ni baraka hizo nimekunenea. Mapacha elfu moja.Nipate tena?
Furahia, unataka utembee kwa kunesa kama kiboko?leo tu nimetoka kusemwa natembea kwa kuyumba kama twiga nimemind hatari😄😄
Mimi nataka tangible things my dear! Hizo baraka nimemiminiwa sana naona hola tu na karne zinasonga!Ni baraka hizo nimekunenea. Mapacha elfu moja.
Kukataa baraka ni dhambi.
hata ngiri fresh tu🤣🤣🤣Furahia, unataka utembee kwa kunesa kama kiboko?
Mumeo hajambo?utani utani tu saa 6 hii hapa alf na weekend inavyowahi kuisha😔