Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,340
- 95,724
Unauma juu ya Nini, naumia Kusikia Moyo wako ukiuma, niambie tatizo nnsijui chanzo ila moyo wangu unauma
Unauma juu ya Nini, naumia Kusikia Moyo wako ukiuma, niambie tatizo nnsijui chanzo ila moyo wangu unauma
Tresor Mandala eti hautaki shobo?😪Mnatagiana tu dah halafu mwamba anavunga kama hataki shobo vile 😃
Hii ni kweli kabisa hujakosea anakuonea gere 🤣
Aisee , naona,anakuonea gere 🤣
kwan wew haujawahi kuhisi kuumia moyo bila sababu?Unauma juu ya Nini, naumia Kusikia Moyo wako ukiuma, niambie tatizo nn
Mie Niko na wewe, muda woteTresor Mandala eti hautaki shobo?😪
ngoja tuzidishe dozi uka jinyongeHii ni kweli kabisa hujakosea
Huwa inatokea, Karibu kahawa tuangalie na mpirakwan wew haujawahi kuhisi kuumia moyo bila sababu?
Ngoja nilale tu maana mnapendana kwenye bando langu au niwarogengoja tuzidishe dozi uka jinyonge
Dah, MkuuHii ni kweli kabisa hujakosea
hap sawa nimefurahiMie Niko na wewe, muda wote
HahahahaNgoja nilale tu maana mnapendana kwenye bando langu au niwaroge
dawa yako haiwezi kutufikia 👌Ngoja nilale tu maana mnapendana kwenye bando langu au niwaroge
Mkuu Curaçao wanatembeza ball sio poa wanakosa tu plan kule mbeleDah, Mkuu
Nitakuchapa sasa na fimbo kubwa 🫵dawa yako haiwezi kutufikia 👌
Nimefurahi zaidi Kusikia uko na Furaha Sasa 😘😘hap sawa nimefurahi