Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,340
- 95,724
Kama vile Mimi ni baba MTU wa win-onehapan mimi ni ma mtu wa tresor pekeake
Kama vile Mimi ni baba MTU wa win-onehapan mimi ni ma mtu wa tresor pekeake
neno lako kwangu ni sheria, nimefanya hivyoMpotezee
Sio navuga nilikua nataka kuona vinega mko wangapi, nijueSahivi anavunga eti anakueleeewa 😀aya bana pendaneni ntapata tu wa kuruka nae
Ndio maana nikakuchagua wewe ,uwe wanguneno lako kwangu ni sheria, nimefanya hivyo
penzi kikohozi babu wew 😅 huwezi kufichaHautajua maana naenda kisilent killer☠️
nyie vichogo hamna lolote 😁🫵Sio navuga nilikua nataka kuona vinega mko wangapi, nijue
mi pia sijutii kuchaguliwa na wew ba mtu wanguNdio maana nikakuchagua wewe ,uwe wangu
wivuuuuuuu hilooooooo😅nyie vichogo hamna lolote 😁🫵
sio uongo unasema kweli😁wivuuuuuuu hilooooooo😅
Sio kwamba sitaki demu,ila sijaona mwingine mwenye sifa wa kukuzidi wewe Malaika wanguuu..mi pia sijutii kuchaguliwa na wew ba mtu wangu
kwendraaa bwana weyeee😅😅😜 tunakujuasio uongo unasema kweli😁
Hahahaha,unaangalia Mpira nininyie vichogo hamna lolote 😁🫵
Ukanijulia wapi na ndio umeniona hapa leo kwenye huu uzikwendraaa bwana weyeee😅😅😜 tunakujua
Yeah mkuu game ya Curaçao ya moto inakosa tu magoliHahahaha,unaangalia Mpira nini
aweee 🥰 that is my man😘 naomba asitokee kabisa nitakulinda na kukupenda daimaSio kwamba sitaki demu,ila sijaona mwingine mwenye sifa wa kukuzidi wewe Malaika wanguuu..
Kipenzikwendraaa bwana weyeee😅😅😜 tunakujua
si nimekujulia hapa kwenye huu uzi saivi auUkanijulia wapi na ndio umeniona hapa leo kwenye huu uzi
abeeKipenzi
Nami pamoja nawe daimaaweee 🥰 that is my man😘 naomba asitokee kabisa nitakulinda na kukupenda daima