Usilale00;00 nilalae sasa😵
kiherehere kushnehi! 😎Huu uzi mahsusi kwa wale wanaokosa ucngz kuanzia saa 7 mwisho 12 asubuhi mimi hua nakosaga ucngizi mara kwa mara so nimeamua kufungua huu uz wakuu kwa ajiri ya kuchat na member humu jukwaani japo mapema karibuni wote:
wee niko hoi!Usilale
Basi Lala uamke na nguvuwee niko hoi!
Nani kaichapawee niko hoi!
Wabongo na kuchapana!🙌Nani kaichapa
Ng'wangaluka, hebu nipe kitu nipunguze machungu kwanza 🙃Ngaluka mayu Binti wa zamani
Hivi hii issue iko serious sana? Unanitisha na nina hiyo ratiba on end month😞Ng'wangaluka, hebu nipe kitu nipunguze machungu kwanza 🙃
Hizi issue zipo, inabidi uwe makini tu na kufanya ukaguzi ukifika mahali.Hivi hii issue iko serious sana? Unanitisha na nina hiyo ratiba on end month😞
Naona huwa! wanasisitiza sana huko mitandaoni aisee! Lakini si huko ama wizile?Hizi issue zipo, inabidi uwe makini tu na kufanya ukaguzi ukifika mahali.
Bestie yako kaja kivingine huko🤣nazaliko lala eeh 🎶
weeee nani huyo mailod 😅😅😅Bestie yako kaja kivingine huko🤣
Nimekuachia ujumbe wa sauti😁weeee nani huyo mailod 😅😅😅
nimeuoana😅😅😅Nimekuachia ujumbe wa sauti😁