Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,126
- 84,760
humu watu wana mbinu san sitaki mazoea zaidi ya huku thats it!Omalaga mwanike, kumbe aliwacheneko gukee! Ila umekuja na kuondoka kama umeme wa mikoani😉
humu watu wana mbinu san sitaki mazoea zaidi ya huku thats it!Omalaga mwanike, kumbe aliwacheneko gukee! Ila umekuja na kuondoka kama umeme wa mikoani😉
wewe umeshazoea ya mjini tu sio!😂😂😂 huko hapanifai, nyie mpo dunia ya wapi sijui
Ila Mm si unajua michezo ya namna hiyoo siichezagihumu watu wana mbinu san sitaki mazoea zaidi ya huku thats it!
Mimi nitajuaje sasa?Ila Mm si unajua michezo ya namna hiyoo siichezagi
ya vijijin kwetu, maana giza linaanza saa 1 usikuwewe umeshazoea ya mjini tu sio!
Bora yenu! sisi muda huu jua hakuna kabisa!ya vijijin kwetu, maana giza linaanza saa 1 usiku
huko kuna magari kweli? au mnatumia fisi kama usafiri😂ðŸ¤Bora yenu! sisi muda huu jua hakuna kabisa!
Just look how authentic iam, how respectful, how humble.. Inshort I don't need to prove nothingMimi nitajuaje sasa?
Ndio hujaziona kule kwa ka mshana? zipo kama sgr!huko kuna magari kweli? au mnatumia fisi kama usafiri😂ðŸ¤
Wengi tu wapo hivo ila kila mtu ana mpango wake humu thats it!Just look how authentic iam, how respectful, how humble.. Inshort I don't need to prove nothing
Kwani huwezi kumsoma mtu Seran?Wengi tu wapo hivo ila kila mtu ana mpango wake humu thats it!
eti ka mshana, mi najuaga ni utani 😄 haya nitakuja kuwatembelea siku mojaNdio hujaziona kule kwa ka mshana? zipo kama sgr!
Najua vizuri sana! ila wewe naona huwa huwezi..Kwani huwezi kumsoma mtu Seran?
kututembelea wap itena? kazipost huko kwenye masijala yake! 😆eti ka mshana, mi najuaga ni utani 😄 haya nitakuja kuwatembelea siku moja
Chuu Mayu, OK unene nali nhu wa aina ke?Najua vizuri sana! ila wewe naona huwa huwezi..
si huko kijijin kwenu au hampokei wagenikututembelea wap itena? kazipost huko kwenye masijala yake! 😆
Tomana o nene!Chuu Mayu, OK unene nali nhu wa aina ke?
Tunakupokea kama utakayokuja tu 🤗si huko kijijin kwenu au hampokei wageni
Kwakweli I dunia Ite salama kwa baghoshaa gheteTomana o nene!
mbona kama unanitishaTunakupokea kama utakayokuja tu 🤗