Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,072
- 33,777
😃😃Lisemwalo lipo mkuuMuongo huyu!
😃😃Lisemwalo lipo mkuuMuongo huyu!
No,Kwaherini kwaherinii?
Ila mnakosea kwani we ukimtoa mkeo huko buzebazeba unataka awe bilevike asipate exposure? How do u know she doesn’t cook? Wakati kamvumilia mumewe muda mrefu tu anaumwa na kamuuguza!
Hapo hamna ufundi wewote hata ukikaa chini ukasumiza mpira gorini kwa tako Sawa tu😃😃Me ni wale striker ambao inabidi ukimpa assist labda umsukumize na mpira ndani 😃😃 ndo atafunga otherwise nakua Nikolas Jackson Post tuu
Jana nimewahi sana kulala yani nimeweka rekodi,nimelala saa tatu na nusu flani hivi,nilikuwa nachek movie flan hivi mara usingizi flani huu hapa,nikaona isiwe tabu kwani kulala shilingi ngapi?ERTUGRUL BEY leo haupo baba😵
kawee..Zipo nyingi duhu Mayu natemwenyeji saana
Kigamboni South Beach, feri kule nako alaf huwa nasahau siulizii majina..
Inamaana gani? 🤣Hii naijua😃😃
pole sana mkuu!Jana nimewahi sana kulala yani nimeweka rekodi,nimelala saa tatu na nusu flani hivi,nilikuwa nachek movie flan hivi mara usingizi flani huu hapa,nikaona isiwe tabu kwani kulala shilingi ngapi?
Asante my dear, umeamkaje lknpole sana mkuu!
Salama kabisa, sijui wewe!Asante my dear, umeamkaje lkn
Niko gud sana tu,nimeona umetupia bandiko lako ngoja nikalisome,uwe na siku njema and take care my dearSalama kabisa, sijui wewe!
On my wayy🏃♂️kawee..
Ngoja nitoke kanisan mkuu😃😃Inamaana gani? 🤣
aya usiku mwemaNilikuwa uzi vita hukoo..
Usingizi upo
Ulale mnonoaya usiku mwema