JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hii meditation ya kulala unaipigaje mkuu
Mkuu ingia YouTube zipo nyingi sana, sema ni practice na kama ujuavyo inahitaji patience Mm jana nimekaa na focus kwa zaid ya masaa ma2. Ila nilifanikisha kulala na nilifurahi. Leo tena nafanya

Una pose mgongo chini kichwa juu, then unavaa headset, unasikiliza zile mediation sounds, au binary beats.

Inakua kama breathing exercise tuu
 
Sawaa mkuu ngoja nizame huko
 
Back
Top Bottom