Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,311
- 85,357
Hmm niliachwa na chaulevi tafikaje huko sasaš¤£nikajua mwenzangu ushakwea pia mambeš
Hmm niliachwa na chaulevi tafikaje huko sasaš¤£nikajua mwenzangu ushakwea pia mambeš
fanya kanamna mrudiane, unakubalije kuachwa sasašHmm niliachwa na chaulevi tafikaje huko sasaš¤£
hapan sijawahi kabisaašHebu nipe experience yako ulishawahi chukiwa na kikundi cha watu wasiokufahamu?
Nasonga mbele tafadhaliišfanya kanamna mrudiane, unakubalije kuachwa sasaš
Usiombe!hapan sijawahi kabisaaš
Hesabu moja mpaka 1,000 usingizi utakuja tu.01:10
Sitaweza ntachanganya nambašHesabu moja mpaka 1,000 usingizi utakuja tu.
Mola mayoš02:02 š
Mola babaš¤£Mola mayoš
Lugha yangu iliishia hapo baada ya kukaa usukuman miez kadhaaaMola babaš¤£
Mbona kwa ufupi sana!Lugha yangu iliishia hapo baada ya kukaa usukuman miez kadhaaa
Aah yangu yenyewe imenipiga chenga nitaweza za watu kwel šMbona kwa ufupi sana!
Yako ni ipi?Aah yangu yenyewe imenipiga chenga nitaweza za watu kwel š
NyakyusaYako ni ipi?
Ohh jifunze hata mawili matatu, mi pia sijaivašNyakyusa