win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,133
- 31,156
mi nimefurahi tu jamni😄Jamanii si ndio wanasemaga kudipu😭
mi nimefurahi tu jamni😄Jamanii si ndio wanasemaga kudipu😭
Ulejichagulagela twa wizo duuhu ka ng’wana nyolo! Tondo naleja ko nyanza o nene!
yao yao😄😄 ulale salama
Ebu acha matani rafk ang😁. Ujue macho yanauma Kweli, am out..usingizi ndo unapitiamo humo humo😇
Haya laselfike kule binti🤣mi nimefurahi tu jamni😄
Yaoyao huku kwetu ni mategeyao yao😄😄 ulale salama
akuuuu napumzisha sura ya baba imechoka kuonekana JF😄😄Haya laselfike kule binti🤣
upo yuesi ?😄Yaoyao huku kwetu ni matege
Wewe huna hata haters unaogopaje sasa🤣akuuuu napumzisha sura ya baba imechoka kuonekana JF😄😄
Nijambe😂upo yuesi ?😄
sasa mimi nina kipi cha kufanya niwe na heta? wakati maisha yang ni unga unga mwana 😄Wewe huna hata haters unaogopaje sasa🤣
hivi haujui kama saivi ni usiku? hebu acha kunichekesha jamni khaaa🤭😅😅😅Nijambe😂
Mimi nina kipi tapeli la jeiefu😆sasa mimi nina kipi cha kufanya niwe na heta? wakati maisha yang ni unga unga mwana 😄
Niko zangu buzebazeba nakamua mawese we unaongelea mambo ya yuesi😁hivi haujui kama saivi ni usiku? hebu acha kunichekesha jamni khaaa🤭😅😅😅
nyota 😎😄Mimi nina kipi tapeli la jeiefu😆
Wengine wana reli?nyota 😎😄
nikajua mwenzangu ushakwea pia mambe😄Niko zangu buzebazeba nakamua mawese we unaongelea mambo ya yuesi😁
labda giza 😄Wengine wana reli?
Hebu nipe experience yako ulishawahi chukiwa na kikundi cha watu wasiokufahamu?labda giza 😄