win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,133
- 31,160
sasa kuachika na sauti vinaingilianaje jamani 🤣🤣🤣 siku unipigie nikiwa nausingizi au nimetoka kulala utachekaaa🤣🤣Hmm we win ulivyo na kasauti katramu mimi ningepata hako nisingeachika aki😁
sasa kuachika na sauti vinaingilianaje jamani 🤣🤣🤣 siku unipigie nikiwa nausingizi au nimetoka kulala utachekaaa🤣🤣Hmm we win ulivyo na kasauti katramu mimi ningepata hako nisingeachika aki😁
I prefer voice hasa hasa si unajua Zina act kama meditational rhythms za kuniliwazaa, ila kama uki supplement na picha hapo umemaliza kila kitusasa voice notes zetu zitakusaidia nini jamni🤣 labda Seran ndo afanye hivyo maan mi sauti yangu itazidi kukutia hasira
YaisheHuna kabisa issue nyingine za kufanya?
hiii mambeee wifi tena?🙊Nakowele ke mwanike! Wifi wane🤣
ndo maana,nilikushauri kwenye ule uzi wako kwamba "tafuta mtu akuliwaze" sijui hata ulijibu ninI prefer voice hasa hasa si unajua Zina act kama meditational rhythms za kuniliwazaa, ila kama uki supplement na picha hapo umemaliza kila kitu
Yah sure imenikuta sina mtu, ila alikuwepo. Ila hata ivyo sikutegemea kama itakuwa intense kias hikindo maana,nilikushauri kwenye ule uzi wako kwamba "tafuta mtu akuliwaze" sijui hata ulijibu nin
Hapana bwana hebu fanya kweli kijana wangu apone!sasa kuachika na sauti vinaingilianaje jamani 🤣🤣🤣 siku unipigie nikiwa nausingizi au nimetoka kulala utachekaaa🤣🤣
pole sana babu ndo ukubwa🥂Yah sure imenikuta sina mtu, ila alikuwepo. Ila hata ivyo sikutegemea kama itakuwa intense kias hiki
Nalalaga unene.. Na Fumba miso bujingiji bukwiza duhuKinehe ngalo?
😏Imekaa ki triggering sana hiiwasalimie huko
yale yale ya "msalimie wifi" au sio😄😄😄😏Imekaa ki triggering sana hii
Kumbe uletudip duhu🤣Nalalaga unene.. Na Fumba miso bujingiji bukwiza duhu
Alaf mtu upo mwenyew, so unaanza tena ku recall good moments badala ya kulala.yale yale ya "msalimie wifi" au sio😄😄😄
aletudip👐 😄😄😄😄😄 nimechekaa mpka machoziKumbe uletudip duhu🤣
usingizi ndo unapitiamo humo humo😇Alaf mtu upo mwenyew, so unaanza tena ku recall good moments badala ya kulala.
Jamanii si ndio wanasemaga kudipu😭aletudip👐 😄😄😄😄😄 nimechekaa mpka machozi