JamiiForums Usiku wa manane

Hivyo vijiwe vya town sio vya kukaa wamejaa mashushu wa nchi hii
 
secretarybird unacheka nini? Muome 😅😅😅😅
Halafu kabla ya ID hii ulikuwa unatumia ipi? Maana kuna ID kama 5 nilijua zote za mtu mmoja, maana sizielewi ikiwemo hii yako.
Wanaume mnabadili ID kwasababu gani? Au mmeunganisha mabehewa humu? 😁😁😁😁😁
 
Wana minyororo... 😂😂😂 Maana ukisema cheni itaonekana ni fupi😂😂
 
Jamani twendeni tukachukie pesa, tujiite Mapopo ya Mama 🤣🤣🤣🤣🤣👋
 
ID yangu ya zamani sitaitaja maana imefanya mambo makubwa na ya ajabu ajabu😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…