LorenzoA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,889
- 17,753
Tanga wana mambo ya ajabu sana....eti02:53
RAHA LEO YA TANGA
USIPANDE SIMBA MTOTO!
Mamboleo
Raha leo
Simbamtoto
Bembea..
Slow but sure Tanga.
Tanga wana mambo ya ajabu sana....eti02:53
RAHA LEO YA TANGA
USIPANDE SIMBA MTOTO!
Tanga Rahaaa!Tanga wana mambo ya ajabu sana....eti
Mamboleo
Raha leo
Simbamtoto
Bembea..
Slow but sure Tanga.
Hahaha raisi wa ma jobless pro max , nipo kijana😂😆Rais leo kakamatika Intelligent businessman
Una kaa Tanga mkuu??02:58
SIYE WATU WA TANGA HATUNA HARAKA
LABDA HARAKA UJE NAYO WEWE TAJIRI!
RACTOO
Hapana mkuuUna mtoto?
Ndio Nyumbani RaissUna kaa Tanga mkuu??
Kaka mi kuoa ni Tanga, tabora au somaliaTanga wana mambo ya ajabu sana....eti
Mamboleo
Raha leo
Simbamtoto
Bembea..
Slow but sure Tanga.
Safi Sana, nili tembelea hapo 2023.Ndio Nyumbani Raiss
Kwa Sasa Nipo Kwenye Jiji la Chalamila
Watoto wa TangaaKaka mi kuoa ni Tanga, tabora au somalia
Endelea kuamini kwenye chama chanma jobless pro max 😂 😁.03:00
TANROAD NJOMBE WAMENINYIMA KAZI RAIS WA MAJOBLESS PROMAX
Kaka ni pisi hatariWatoto wa Tangaa
Hawana Vipengeleee
Kwenye Msosi Wako vizuri sanaSafi Sana, nili tembelea hapo 2023.
Wana pika vizuri mno, chakula Bei Safi.
Kwa Hali hii tutanunia V8 Kweli? Unaijua V8 ?Endelea kuamini kwenye chama chanma jobless pro max 😂 😁.
Nili kuwa Barabara ya 14 pale si Kuna hotel, mitaa ya masjid qubaa.Kwenye Msosi Wako vizuri sana
Bei zao ni Cheap
Watu wakarimu sana
Mi mtazamo wangu tofauti Sana, gari hapana aisee.Kwa Hali hii tutanunia V8 Kweli? Unaijua V8 ?
Napamanyaaaaaa vyema hapooNili kuwa Barabara ya 14 pale si Kuna hotel, mitaa ya masjid qubaa.