Kuwa makini meja, taarab hazi fai jeshini😂😂Kuruti waliokuja mpango kazi jana walikuwa wachache sana.. leo lokoo itabidi ihusike.
Kuwa makini meja, taarab hazi fai jeshini😂😂
Niko nacheka hapaz Kuna mzee kaja kuangalia mpira home.00:04
Mwambie apunguze presha. Yanga atawaacha midomo waziNiko nacheka hapaz Kuna mzee kaja kuangalia mpira home.
Yuko ana Lia, Eti yanga haipitii 😂😂
Aisee 😆😆Mwambie apunguze presha. Yanga atawaacha midomo wazi
Haya taja cheo chako, uki shindwa ibukia kwa kasongo yee😂😆Kuruti mkafoleni kombania muda wa rokoo huu
0232 Tulia Ndoani MMILIKI WAWILI UKIMWI HUMWANDAMA02:29 KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
Kadi yako namba ngapi chaputa??0232 Tulia Ndoani MMILIKI WAWILI UKIMWI HUMWANDAMA
0234 NDOA NI UTAJIRI02:32 NDOA NI MKATABA WA KITAPELI
CPT20172025 username: Rchapu. Cheo: Brigedia MwandamiziKadi yako namba ngapi chaputa??
Labda utajiri wa vurugu0234 NDOA NI UTAJIRI