makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Hili ni wazo zuriiiii sana.Mi mtazamo wangu tofauti Sana, gari hapana aisee.
I just invest hapa na pale,few blocks in the city.
Then safari za hapa na pale ni poa.
Uwezekezaji unalipa
Hili ni wazo zuriiiii sana.Mi mtazamo wangu tofauti Sana, gari hapana aisee.
I just invest hapa na pale,few blocks in the city.
Then safari za hapa na pale ni poa.
Pakali mno, nili wahi kuwa invited na jamaa fulani kuji funza operation ya industry fulani.Napamanyaaaaaa vyema hapoo
KweliiiPakali mno, nili wahi kuwa invited na jamaa fulani kuji funza operation ya industry fulani.
pale Barabara ya mwahako, nahisi Usha elewa.
Naam, pisi nyeupe.Kweliii
Mwahakooo mpaka Mikanjunii
Maji ya Tanga hayana KipengeleeNaam, pisi nyeupe.
hivi Tanga Kuna vyuo vipi na vipi??Maji ya Tanga hayana Kipengelee
Watoto wanajua Kujistiriii
Lafudhi yao Sasa! Ambiwaaaa rangi ya mtume
Kuliko kubeti, nunua matunda uleWeekend Nyingine ya Kumchangia Muhindi Hela ya Ada Kwa Wakamariaaa!
Bora Hela yako Ubeti Kuliko Kuhonga
03:18
Vyuo Kwa kweli kwa Sasa Tanga mjini Baada ya Eckenforde Kuyumba Hakunahivi Tanga Kuna vyuo vipi na vipi??
Lushoto si haipo Tanga mjini??, iko nje ya mjiVyuo Kwa kweli kwa Sasa Tanga mjini Baada ya Eckenforde Kuyumba Hakuna
Japo Kule Kange sijui Kama kile Cha Serikalini Kama Bdo kipo hai.
Tofauti na Hapo ni Korogwe na Lushoto
Haipo Tanga Mjini Ile ni Wilaya NyingineLushoto si haipo Tanga mjini??, iko nje ya mji
Sema mi napa kubali Tanga mjini tuHaipo Tanga Mjini Ile ni Wilaya Nyingine
Unatoka Tanga mjini ... Muheza ... Hale ... Segerea ... Korogwe ... Momboo ndo Unapanda juu Lushoto
Kwa kina January wa Makamba
Tanga mjini ni kizuriSema mi napa kubali Tanga mjini tu
Nilipa ona, mfano raskazone nyumba ziko available kununua sehemu nzuri.?Tanga mjini ni kizuri
Ni mji wa utulivu sana
Sema tu mzunguko wa Pesa hakuna
Kule wengi mwamwinyii