makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
YesNilipa ona, mfano raskazone nyumba ziko available kununua sehemu nzuri.?
Too available
Kule watu hawana hela
Ukitangaza dau unasepea na mji
By the God's Grace ... ntajenga Tanga nyumba kwa ajili ya mapumziko.
Mkono wa Mungu una vingi vya kutupa pasipo Yeye Kupungukiwa