mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 923
- 4,015
12:51
2:10 AMNimekumisss too Dr mchongo. Wa kigambon
Kumbe jiraniAje kigamboni hapa tunywe supu ya kongoro na Serengeti laga
Nipo nasoma nyuzi tu hapa za wanajukwaaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Hongera sanaNImeamka,Nasoma Vitabu Kidogo.Now Reading 5 AM Club By Robin Sharma
Good morning,good saturday.0600
Kumekucha!