Kuna kazi kitu nafanya hapa kwenye pc nilikiona tiktok hawa Waseng*** AI watatuua na njaaa yaani sasa hivi hata kama haujasoma computer coding unaweza uka design wwbsite kwa kujaza aina ya website unayotaka ma jina lako inakuletea mpaka maelezo yote yaani wewe ni kuandika. Mpaji Mungu Real estate company ima design kila kitu 😂😂😂Ni kamzozo! Mi npo macho hamna usingizi kbs
hatari sanaKuna kazi kitu nafanya hapa kwenye pc nilikiona tiktok hawa Waseng*** AI watatuua na njaaa yaani sasa hivi hata kama haujasoma computer coding unaweza uka design wwbsite kwa kujaza aina ya website unayotaka ma jina lako inakuletea mpaka maelezo yote yaani wewe ni kuandika. Mpaji Mungu Real estate company ima design kila kitu 😂😂😂
Kivip?Hiyo team kuna mmojawao kayakoroga. Maskini team yangu 😭
Siku hizi Coding hatuanzii from the scratch unachukua tu template unacustomize unaconnect na database 🔥🔥 mzigo unaenda hewaniKuna kazi kitu nafanya hapa kwenye pc nilikiona tiktok hawa Waseng*** AI watatuua na njaaa yaani sasa hivi hata kama haujasoma computer coding unaweza uka design wwbsite kwa kujaza aina ya website unayotaka ma jina lako inakuletea mpaka maelezo yote yaani wewe ni kuandika. Mpaji Mungu Real estate company ima design kila kitu 😂😂😂
Namalizia mtihani...nitarudikipanga85 , jooohs , To yeye, food test , Hope urassa , The Legacy , Curtiz, Baba Ndumbwi muda wenyewe huu
Uni Cc akileta jibu. 😂😂Watu wamepata wakuwachosha sasa hviKivip?