Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,652
- 10,741
Hakika, maana ulikuwa huonekani kika pembe, nikasema labda umesahau password yako 😂Mimi nipo fresh kabisa mkuu.
Kitambo sjaingia majukumu ni mengi
Hakika, maana ulikuwa huonekani kika pembe, nikasema labda umesahau password yako 😂Mimi nipo fresh kabisa mkuu.
Kitambo sjaingia majukumu ni mengi
Ni usiku sasa mkuu 😂 😁 😁Sasa hiyo multiverse mbona unatudanganya? Au kwa vile sio mchana kweupe
Poa poa mkuu 😂 😁 😁Basi kesho fanya edition
Mkuu ushaanza miyeyusho Sasa 😂Hakika, maana ulikuwa huonekani kika pembe, nikasema labda umesahau password yako 😂
Unaona SasaKwaniuy6yy6
lala usije ukaandika utumbo mwingine hapaAisee usingizi umenizidi wazee Nay be kesho
Acha uongo0024 nipo nazisaka hela,aisee ni balaa
Kweli mkuuAcha uongo
🤣🤣🤣ni mweusi plus hizo oil chafu alizojidabua oohh salaleeJamaa kafanana sana na usiku hadi simuoni, na kama huyo ni msaidizi basi fundi mkuu na dirty oil ni copyright
00:1101:09
Ni kamzozo! Mi npo macho hamna usingizi kbsAisee kwanini nakosa usingizi nalala saa 9 usiku saa 12 asbh npo macho hata kama nipo na kazi mchana najisikia hangover ya usingizi tu