Ngedere1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2022
- 369
- 787
Nna dogo ako apa anasumbua sjui kapatwa na nn..ntalala kweli??Amina
Nna dogo ako apa anasumbua sjui kapatwa na nn..ntalala kweli??Amina
Mzibue makofi 🤨Nna dogo ako apa anasumbua sjui kapatwa na nn..ntalala kweli??
😁😁😁😁unazingua... Af leo sjawasha kama janaMzibue makofi 🤨
Kuwasha ndo kulewa?😁😁😁😁unazingua... Af leo sjawasha kama jana
Mwanangu nampenda sana siwez mzibua bila shida ooteMzibue makofi 🤨
YaaaKuwasha ndo kulewa?
Bas mwambie aache usumbufu mkuuMwanangu nampenda sana siwez mzibua bila shida oote
Pombe si kitu chema sana kukizidishaYaaa
Sjawasha kabisa leo toka monii. Yaan jicho leupe kabisa ntalala kweli??Pombe si kitu chema sana kukizidisha
Utalala tu ….mie tayari najilaza sasa hiviSjawasha kabisa leo toka monii. Yaan jicho leupe kabisa ntalala kweli??
Kuna sehem hapa pana mziki mkubwa pananishwishi kutoka😀😁😂😃😇😇😇Utalala tu ….mie tayari najilaza sasa hivi
Em tulia ndani bhana…..usiku sana sahiziKuna sehem hapa pana mziki mkubwa pananishwishi kutoka😀😁😂😃😇😇😇
Mzee wa yoga mda tayari nn??🧘🏿♂️
Tumejikongoja kumfukuzia na tujiwe🫤Poleni sana usalama wa vitu upo au ndio amesharudisha nyuma maendeleo?
Na half amerikan anakula kona ya wapi saa hii??Em tulia ndani bhana…..usiku sana sahizi
KumekuchaMzee wa yoga mda tayari nn??
Niambie muujiza gani unataka kuionyesha jf saa ii??Kumekucha