Ngedere1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2022
- 369
- 787
Ushajilaza kama ulivyosema au???Em tulia ndani bhana…..usiku sana sahizi
Ushajilaza kama ulivyosema au???Em tulia ndani bhana…..usiku sana sahizi
poleni kwa changamoto hiyo wakuu.Tumejikongoja kumfukuzia na tujiwe🫤
Mimi bado sana kulala nilikuwa napita huko mjini instagram nione yaliyojiri baada ya internet kuzingua.Usilale kaka nami nlikua napasha tu tuendelee na stori kaka😁😁😁😁
😂 sema unajua kupangilia mkuu, supu 2 moja yangu na nyingine ya To yeye wangu muzuri.We jamaa inabidi kesho ununue supu 2 kwa To yeye maana... mtafika usubui kwa staili hii?? mwonee huruma mwenzio
Hakuna namna na maisha lazima yaendelee🤣🤣🤣sad…..unajikuta tu unaruka majivu unakanyaga moto…..ila ndo maisha na maisha ni kupanga kuchagua🥴
Mimi nipo mkuu sina hata tone la usingizi.We si umekimbia nlikua nakupigia debe ukalala?? Sema ashaelewa mkuu
Lete manenoMimi nipo mkuu sina hata tone la usingizi.
😁Niambie muujiza gani unataka kuionyesha jf saa ii??
Mwana mpotevyuu👀👀....
Akuuu🤪🤪Mwana mpotevyuu
Utakataa lakini ndio ukweliAkuuu🤪🤪
Kwaio tunafanyaje Sasa😨Utakataa lakini ndio ukweli
Kwani hujui cha kufanya?Kwaio tunafanyaje Sasa😨