Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,787
- 58,392
Uche ni pini😁
Malizia uche montanaUche ni pini😁
Mshangazi huo wa 1994 swafi kabisaMalizia uche montana
Usije mtaman shemeji yao dogo be care 😂😂😂😂
Mbona kama unaanza kunitisha...Mshangazi huo wa 1994 swafi kabisa
mnooUche ni pini😁
Mkuu wamehamia kwako tenaFamilia yule, no matter what.
Nipo leo nna hamu ya kulala ila usingizi umegoma kabisa sijui n nani ananiwaza.01:18
Kwahiyo ndo mmepigwa ban for life au?
Poleni sana usalama wa vitu upo au ndio amesharudisha nyuma maendeleo?00:40
Tumekurupushwa na mwizi🤨
🤣🤣🤣🤣 wa kuwazwa wewe? 🥴🙄Nipo leo nna hamu ya kulala ila usingizi umegoma kabisa sijui n nani ananiwaza.
01:20
ndio hata mimi nashangaa hebu aache huo mchezo saa 12 asubuhi sio mbali. Na kesho ni j3🤣🤣🤣🤣 wa kuwazwa wewe? 🥴🙄
🤣🤣🤣mwambie huo ni mwanzo tu penzi likichuja huo usumbufu wa kukuwaza hautokuwepondio hata mimi nashangaa hebu aache huo mchezo saa 12 asubuhi sio mbali. Na kesho ni j3