Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Hivi umekuaje Kaka angu Vin unamzagamua nani?23:09 matajiri hawasambazi umbea inbox wanasambaza pesa masta
Hivi umekuaje Kaka angu Vin unamzagamua nani?23:09 matajiri hawasambazi umbea inbox wanasambaza pesa masta


Nipangilie mkubwa mwenzangumukubwa mshamba_hachekwi
MCHANA WA MANANE TUNANDIKA WAPI??Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Si ndo kina nyie mnasusa kazi kuchezea simu tuInamaana ma babe ZENU huwa mnawabebisha sangapi ?