Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,932
- 53,956
Kutokana na dharura iliyopo lindo liendelee vikosi kazi vingi vinapambana na Hidaya huko
Hidaya yupi tena?Kutokana na dharura iliyopo lindo liendelee vikosi kazi vingi vinapambana na Hidaya huko
Huyu huyu wa kimbungaHidaya yupi tena?
Wazee wa pwani nasikia walimkalia kitako... ashakimbia hayupo kwa sasaHuyu huyu wa kimbunga
Kajitingisha kidogo furiko la kutoshaWazee wa pwani nasikia walimkalia kitako... ashakimbia hayupo kwa sasa
Round ijayo aje na jina la kiumeKajitingisha kidogo furiko la kutosha
Oddo ndyo umemponyoka now 🤭🤭🤭🤭🤭Humu
Alishikiriwa mateka ?Oddo ndyo umemponyoka now 🤭🤭🤭🤭🤭
akuje ajbuAlishikiriwa mateka ?
😭😭😭 mpaka sasa ni hostage, chaajabu tumetuma msaada amekataa 😭😭😭Alishikiriwa mateka ?
Hahahahaha..huyu hostage atarudi na mjukuu na hiki kimbunga hidaya na baridi hili😭😭😭 mpaka sasa ni hostage, chaajabu tumetuma msaada amekataa 😭😭😭