Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,900
- 82,153
Hostage Ndo manini😭😭😭 mpaka sasa ni hostage, chaajabu tumetuma msaada amekataa 😭😭😭
😂😂😂😂😂😂 tumuache ni ntu ntu nzima yooo au kumuhitaji pasono pasono😂😂😂Hahahahaha..huyu hostage atarudi na mjukuu na hiki kimbunga hidaya na baridi hili
Ndo weapooo manka. umekananaia kwa mtuHostage Ndo manini
Blaza men yupo clab analewa anayumba,Poor Brain habari yako mukubwa upo kimyaa sana skuizi
nipo fresh sana rafiki yangu wasalimie mwanza hukooPoa Vin
uko poa?
Aiseee life la huku ni complex zaidi ya ile ya plasmodium....kula maisha kaka naskia huko ulipo maji ya chupa sio 500 ni afu tatu
Sema mimi shangazi huwa anaweka kila kitu ndani....kula maisha kaka naskia huko ulipo maji ya chupa sio 500 ni afu tatu
Salamu zimefika kwa wotenipo fresh sana rafiki yangu wasalimie mwanza hukoo
kula maisha kakaAiseee life la huku ni complex zaidi ya ile ya plasmodium....
Wanatuchukulia wote huku ni watumishi mkuu
Yaaah kaka life is too easy kama una sehemu ya kupata chochote kitukula maisha kaka
🙀Humu unaeza ukawa unataniana na wakuu wa nchi , huku wanakucheka tu kwa siri 😂😅
Inabidi sisi ambao tunaomba afu tatu tuunde jukwaa letu tusisemww
Tajiri Fake P Vincenzo Jr