JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo fanyeni kama mmenisusia lindo
Sawa mkuu. Hata Roma Mkatoliki aliomba kususiwa πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Leo nimetoboa lindoni. Wapi makofi jamani? πŸ‘πŸ‘πŸ‘

downloadfile-74.jpg
 
Daah πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Nimekosa usingizi kabisa mpaka sasa....

Kitakacho tokea ni kuextends mda wa kulala..

Ntalala mpaka sa tisa jioni hivi. hapo nitakua nime save sana maswala ya msosi wa asubuhi na mchana.

Hivo basi tutakutana tena cafe sa 10 jioni...

Wali 2.5k
Matunda 0.5k
Maji 1k
Jumla 3k

Nisipo nunua trekta/bajaji mwaka huu basi kuna mkono wa mtu kmmke
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom