Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,506
- 16,599
Muundo umegoma fanya mapigo na mwendoHali ya hewa hii mama ๐๐๐๐
01:30
Muundo umegoma fanya mapigo na mwendoHali ya hewa hii mama ๐๐๐๐
Umekimbia michano kuku wewe ๐๐๐๐๐๐๐๐We uki taka kunywa Serengeti, ila maisha safari
ile kitu ata kuigusa staki kbsa ๐๐ nsije nkaanza kukimbia bila sababuOyaaa kuna dogo alijinyea ๐๐๐๐๐๐
Uki shindwa kuni tafsiri, we relax labda uta nielewa Mwakani.Umeongea kinini hiiki
lunya ni trash kama takataka ana swaga tuLunyaa labda kutamba tu, ila mwepesi ka karatasi ya chooni
Lete mistari pimbi mmojaUmekimbia michano kuku wewe ๐๐๐๐๐๐๐๐
naweza kukupaka machupa kwa mgongo wa futaUki shindwa kuni tafsiri, we relax labda uta nielewa Mwakani.
Mi nna kuacha kana kwamba skujui,Uki shindwa kuni tafsiri, we relax labda uta nielewa Mwakani.
Nipande mnazi ๐ญ?Muundo umegoma fanya mapigo na mwendo
01:30
Haina kwere arifu, mi bado natalizi kiroho safimi naomba niwatakieni usiku mwema famila yangu ngoja niutafute usngzi sasa wakubwa zangu
Bro kisicho niua, Kita nikomaza kiaskari.Mi nna kuacha kana kwamba skujui,
Alafu bado unanighasi hauhisi kama unautaka uadui..๐๐๐
pamoja kaka mkubwa๐Haina kwere arifu, mi bado natalizi kiroho safi
Unanikera kiasi hautambui hali ya sasa, isitoshe jana nimepiga kazi kibaba.Lete mistari pimbi mmoja
Na sasa ukitaka bato na mimi jezi utavua,Bro kisicho niua, Kita nikomaza kiaskari.
So uki nichukia, Ina dhihirisha mi mkali
Unanikera kiasi hautambui hali ya sasa, isitoshe jana nimepiga kazi kibaba.
Unatangaza uzungu umekuingia,
Sijali hata kama undugu utafifia.
Nitakupa vifungu vya sheria na ibara zake, hii bato ya mistali aki ya Mungu utaulipia..
Man in a city look at my pep talk,Guess youโ the sacrificial lamb, funny on how youโ tryna get even
They already crowned the king, you should wait for the next season (intelli).
Your fans are about to be left grieving
You're 25 years old, but looking like you still breast feeding
Kucheka cheka na ma snitch sitaki, mmesha chezea block kwenye Simu hamni pati.Na sasa ukitaka bato na mimi jezi utavua,
Kwakua ulipewa viatu na mechi ukazingua.
Hauna pesa ya kukidhi kabisa,
Sauti yako ya kichovu haipongi katiba..
Ukichelewa jibu mistari nitakungojea,
Nikikosa kukupiga ngumi tafuta pakuegemea..
Fix your lines first, before of even thinking to mention my name.Man in a city look at my pep talk,
Doing the impossible job killing a dead horse..
Roho mbaya like a im a coke miner,
I'm a dope rhymer
Say hi to your ghostwriter