dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,303
- 5,831
Karibu
Karibu
samaje ile kozi mlikaza haya ndo matokeo yake 🤣🤣Ndo maana kakorofi sana
🥴Karibu
Tufurahie maisha[emoji3061]
Sikukuu njemaTufurahie maisha
Kwako piaSikukuu njema
AmiinKwako pia
Nialike mimi apo ilazo sio mbaliSijui ni kitu gani kila nikialika rafikizo hawaniamini kabisa nimeamua kuwa najialika mwenyewe
Leo wanatumia smellproof kuzuia harufu isitoke nje na ikitoka inanukia ugali dona.kanzu nimesha azima 😆, navizia nizunguke harufu ya pilau unapo tokea🤓
Taqabbal Allahu minna.𝐄𝐢𝐝 𝐌𝐮𝐛𝐚𝐫𝐚𝐤
okee popote unapotokea shuka daraja dogo nyoosha barabara hadi mwisho inapoungana, niwe nakuchungulia kama unafaa kukaribishwa kwanzaNialike mimi apo ilazo sio mbali
Sasa huo mualiko au mpoteano?okee popote unapotokea shuka daraja dogo nyoosha barabara hadi mwisho inapoungana, niwe nakuchungulia kama unafaa kukaribishwa kwanza
Hutaki pilau weweSasa huo mualiko au mpoteano?
Pilau ya kuangaliwa muonekano kwanza siitakiHutaki pilau wewe
hiyo ndo nzuri ili pewe kwa levo yako usije ukakufuruPilau ya kuangaliwa muonekano kwanza siitaki
Labda kama unamaanisha ile pilau nyingine.hiyo ndo nzuri ili pewe kwa levo yako usije ukakufuru
Wali kwa muislam, kwa mkristu haramu🤣😂𝐄𝐢𝐝 𝐌𝐮𝐛𝐚𝐫𝐚𝐤