Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Uta dhihirisha u kubwa la manusu😂🤓Ntamuita
Uta dhihirisha u kubwa la manusu😂🤓Ntamuita
BasiUta dhihirisha u kubwa la manusu😂🤓
Basi muite 😂🤣Basi
🥷🏽🐒🐒🐒
Aah madirector wakikosa hela wataleta tuu😃Waambie watu tengenezee part 2 Sasa 😆🤓
Tumekukumbuka sisi kama familia 😅🥷🏽🐒🐒🐒
Asanteni kwa kunikumbuka🙏🏻Tumekukumbuka sisi kama familia 😅
Labda, ila ndo since 2019, sicario Ume icheki pia??Aah madirector wakikosa hela wataleta tuu😃
Nikiwa billionaire, Nita kununulia mgao wa hisa 2000 za amazon 😂Tumekukumbuka sisi kama familia 😅
huku hakuna masuala ya mda mkuuNi saa ngapi huko?
Hiyo ni movie Intelligent businessman au ni nini?Madame B parasite ime toka, ume Iona 😆
Thanks for missing me shangazi mzuri 😊 😊, hiyo ni movie ya kikorea nzuri mno ni zile za kutisha kidogoHiyo ni movie Intelligent businessman au ni nini?
Nilikumiss wakati upo lupango.
Wapo wengi mnoo, wa kwanza Mimi mwenyewe, pili ni mama angu, 3 ana jijua 🤓Kama nawe yupo huko kwenu mwenye uvumilivu wa mapungufu yako....huna budi kushukuru
Si umtaje tu...sio siku uje uanze kulialia jukwaani hapaWapo wengi mnoo, wa kwanza Mimi mwenyewe, pili ni mama angu, 3 anajijua 🤓
Mwanangu na ndugu zangu wa tumbo moja na huenda wifi zangu.Kama nawe yupo huko kwenu mwenye uvumilivu wa mapungufu yako....huna budi kushukuru
mdogo angu wa mwisho, huyu tuta gombana ila ata flash sekunde tu😊Si umtaje tu...sio siku uje uanze kulialia jukwaani hapa