JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mwanangu na ndugu zangu wa tumbo moja na huenda wifi zangu.
Huenda na wazazi wangu wangekuwa hai hii leo nao ningewajumuisha...ila naamini walinivumilia kwa kipindi hiko, tena walinivumilia sana, kiasi sitaki kukumbuka chochote binti mimi.
Amina....Mimi ni mama yangu...mdogo wangu....wanangu ....rafiki yangu....staff members wangu....majirani zangu😍 ..,,Mwenyezi Mungu awabariki sana
 
dah nime miss zile zama mama ana toka site jumapili, tuna pitia sokoni kununua samaki wakubwa, bamia na nyanya chungu😀.

Hizi mambo za nyama sometimes Zina poteza memory nzuri.
Ila wewe.
Haya bhana.
Ngoja niende zangu A City kwa kaka Paul.
Ila kaka nimejikuta nampenda tu kipindi hiki ...sijui kwanini.
 
Back
Top Bottom