Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,900
- 82,154
Mimi nimesilimu kwa ajili ya mke wangukumbe kuna congoman waislamu
Mimi nimesilimu kwa ajili ya mke wangukumbe kuna congoman waislamu
App whichwhennahisi huku update app, acha nitafute ya zamani aisee
Tumia tapa talk kakanahisi huku update app, acha nitafute ya zamani aisee
samahani! mke akifariki(Mungu aepushie mbali), utarudi kwa Yesu?Mimi nimesilimu kwa ajili ya mke wangu
Naunga mkono hoja ila kula muhimu ujue 🤣😁Kama sio daku, empty tumbo liheshimiwe 😃😃😃😃
Tapa talk ndo ya aje??Tumia tapa talk kaka
Hapana nitakuwa nimefanya usaliti wa nafsi yangusamahani! mke akifariki(Mungu aepushie mbali), utarudi kwa Yesu?
Tapatalk ni App inayokuwezesha ku access Forums mbalimbali duniani kwa wakati mmoja,Tapa talk ndo ya aje??
Basi uta subiri Sana 🤣, Kuna Jamaa Lilikuwa Lina nifundisha baadhi ya vitu.umewaza mbali sana, ni kuhusu tu kutoa overview mtu awe excited kusoma unachomwambia
oohh, sawa.Tapatalk ni App inayokuwezesha ku access Forums mbalimbali duniani kwa wakati mmoja,
Back in gusa gusa days 😆, una Minya Minya nyanya, Kisha una nunua bilinganya 🤣😆App whichwhen
umesema umeslim sababu ya mke? sio kwamba umeunga mkono imani, sasa nafsi tena itakuaje umesaliti? anyway sio kwa umuhimu😃😃😃😃Hapana nitakuwa nimefanya usaliti wa nafsi yangu
Basi ni la kiwaki sanakila mtu
Subhanallahumesema umeslim sababu ya mke? sio kwamba umeunga mkono imani, sasa nafsi tena itakuaje umesaliti? anyway sio kwa umuhimu😃😃😃😃
02:14 am
