Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Keep dreaming fella, ila try maybe unaeza onekana ume jaribu.Mwambie saivi itakuwa ni 12 na tutahakikisha inatimia🤣🤣
Beside hiki nini tena 🤔, au una changamsha genge tu ??
Keep dreaming fella, ila try maybe unaeza onekana ume jaribu.Mwambie saivi itakuwa ni 12 na tutahakikisha inatimia🤣🤣
Tutampoteza kabisa kama yule adui wa walimuMwambie saivi itakuwa ni 12 na tutahakikisha inatimia🤣🤣
Dah yule mwenye jina la kijijiìiiii???Tutampoteza kabisa kama yule adui wa walimu
Changamsha genge mkuu. Its not serious.ubaya hatuna sisi na kama ungekuwepo tungesemezanaKeep dreaming fella, ila try maybe unaeza onekana ume jaribu.
Beside hiki nini tena 🤔, au una changamsha genge tu ??
Ndio jina la kijiji kule makao makuu anapoishi tajiri Fake PDah yule mwenye jina la kijijiìiiii???
Duh sikuwa nafahamu. Ila huyu tumwonee huruma maana ndugu yetu sana huyu
Basi nili shtuka kidogo, kuona tuna tangazwa amani huku tume ficha mapanga😁Changamsha genge mkuu. Its not serious.ubaya hatuna sisi na kama ungekuwepo tungesemezana
Wewe nusu albin tulia🤓
🤣hatujafika huko mkuu. Binafsi sipendi kuona furaha ya mtu naiondoa kwa namna yoyote ile zaid ya kuileta.Basi nili shtuka kidogo, kuona tuna tangazwa amani huku tume ficha mapanga😁
Au tuanze na wewee. Ka mkubwa naona kafanya mwamala kwangu ili yaishe sasa mm sitaki tena kwendelea na hii mada🤣
Nitakupoteza na nakwambia wazi wazi sikusnichi 😂Wewe nusu albin tulia🤓
Mimi soon napotea humu, msijesema sikuwaambiaAu tuanze na wewee. Ka mkubwa naona kafanya mwamala kwangu ili yaishe sasa mm sitaki tena kwendelea na hii mada🤣
TUlia ngoja nikupunguzie mwamala ili umwache. Au malizia vile vi🐇🐇 nlivyokuleteaNitakupoteza na nakwambia wazi wazi sikusnichi 😂
Unaenda wapi kubwa la manusu😂😁Mimi soon napotea humu, msijesema sikuwaambia
Kwa heri/amani?Mimi soon napotea humu, msijesema sikuwaambia
Shemeji yako hayupo, ange kuwepo unge pasuka kubwa la manusu 😂😁Nitakupoteza na nakwambia wazi wazi sikusnichi 😂
Naenda sayari nyingine nyie mayoung hamniweziUbaebda wapi kubwa la manusu😂😁
Yupi huyoShemeji yako hayupo, ange kuwepo unge pasuka kubwa la manusu 😂😁
Ndio mi sinaga shida na mtuKwa heri/amani?
Situmiagi hvyoTUlia ngoja nikupunguzie mwamala ili umwache. Au malizia vile vi🐇🐇 nlivyokuletea
Basi na iwe heriNdio mi sinaga shida na mtu