Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
teacher sio vizuri 🤓🤣🤣🤣🤣 hajui kama unamilikiwa
teacher sio vizuri 🤓🤣🤣🤣🤣 hajui kama unamilikiwa
😁😁😁Mi mrefu, med, na normal Kama ulivyo sema hapo juu, ila sitakii😀🏃🏃🏃
🤣🤣ndo namkumbusha kidogo tuteacher sio vizuri 🤓
🤣🤣🤣anaogopa kuduu balaaSi aniambie tu....kuna kitu nataka nihuhishe hapa ...🤓
Anae sasa?🙄 Yaan anachoogopa yeye ni kuyaanza mahusiano tu🥴Kakimbilia kusema nimuache tu, aliyenaye ameridhika nae eti
Aisee 😀😀, soon nakuwa jasiri🏃🏃🤣🤣🤣anaogopa kuduu balaa
Safi...life is too short...usiogope we kuwa makini tuAisee 😀😀, soon nakuwa jasiri🏃🏃
Kwani Tanzania ni mchana sahivi?Mnafanya nn sahivi humu?
Khaaa 🤣🤣Kwani Tanzania ni mchana sahivi?
Tena yakiwa rahisi ndo naogopa Sana😀🤓Anae sasa?🙄 Yaan anachoogopa yeye ni kuyaanza mahusiano tu🥴
Napenda sana wavulana bikra.🤣🤣🤣anaogopa kuduu balaa
Umri huo??🤔🤔🤔Anae sasa?🙄 Yaan anachoogopa yeye ni kuyaanza mahusiano tu🥴
Shangazi shikamoo 😄Napenda sana wavulana bikra.
Mwambie shangazi natafuta wa kula nae urithi
Huku niliko ni saa 9 usiku.Mnafanya nn sahivi humu?
Marahaba.Shangazi shikamoo 😄
Kwa uongeaji huo, sidhani kama ana uvulana wakeSafi...life is too short...usiogope we kuwa makini tu
Trust me or not, ni hivyo kiukweli 😄Kwa uongeaji huo, sidhani kama ana uvulana wake
Anatutishia nyau tu hapa
Serious mi mdogo kweli, ila kingine mambo mengi shangazi.Marahaba.
Unamlindia nani uvulana wako wewe mtoto?
Trust me or not, ni hivyo kiukweli 😄
Okay, hapo nimekuelewaSerious mi mdogo kweli, ila kingine mambo mengi shangazi.
Sitaki mistake za my previous life, kwa tunao amini lakini🏃