Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,303
- 37,664
Kaliua tena mje mniueHuku Kaliua ndani ndani utafika?
Kaliua tena mje mniueHuku Kaliua ndani ndani utafika?
KigamboniKitimoto tunakula wapi ?
Sehemu ganiKigamboni
Acha ubaya ndugu...you are a man ujueNdugu yangu mmoja Leo anasherekea sikukuuu akiwa gerezan
Hiyo ni nyimbo kaimba madeeAcha ubaya ndugu...you are a man ujue
VizuriHiyo ni nyimbo kaimba madee
Container barSehemu gani
Inaitwa nipe ripotiVizuri
Winnone nimepewa taarifa zake ananisaliti... hapa nasubiri Pasaka iishe nimpe talaka
Hii ndo ipo wapi? Nunge, Soweto, au ferry?Container bar
Ferry hiyooo kakaHii ndo ipo wapi? Nunge, Soweto, au ferry?
SafiContainer bar
Yule mtakae muacha nipeni mimiWinnone nimepewa taarifa zake ananisaliti... hapa nasubiri Pasaka iishe nimpe talaka
Karibuni sana wakuuuNoted. Tutakuja hapo na Winnone siku nyingine
Ameniumiza sana ajiandae na talaka tu🤣🤣🤣akimpembua mashavu😜 jamani hii kesi ipo kuniangukia aisee....huu mdomo huu