Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,079
Yupi huyo?Yule mtakae muacha nipeni mimi
Yupi huyo?Yule mtakae muacha nipeni mimi
Ahsante sanaKaribuni sana wakuuu
Hapana yajengeniAmeniumiza sana ajiandae na talaka tu
Hahahahaha...yoyote yuleYupi huyo?
Ushafungua code 😁😁😂Hapana yajengeni
Hahahahaha nipe mm huyo usiyemtakaAmeniumiza sana ajiandae na talaka tu
🤣🤣afu nimeropoka tuUshafungua code 😁😁😂
Kuna jamaa hapa ni wakiume anadai yupo singo na yeye anaruhusiwa kuja?Kwa aliye singo km mimi..namkaribisha Dynasty Beach..Ununio tutoe stress na pasaka hii
Mkuuu hapo napaelewa sana yaani full luxury aisee mwaka jana nilifika hapoKwa aliye singo km mimi..namkaribisha Dynasty Beach..Ununio tutoe stress na pasaka hii
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏿Kuna jamaa hapa ni wakiume anadai yupo singo na yeye anaruhusiwa kuja?
Hahahahaha..huyo haruhusiwiKuna jamaa hapa ni wakiume anadai yupo singo na yeye anaruhusiwa kuja?
😁😂🤣😁😁😁🤣🤣afu nimeropoka tu
Hahahahaha...unaniharibia mbn mkuuWinnone huyu ndo shemeji unayemuamini?
Maji yamenifika shingoni😁Hapana yajengeni
Hata hatujaachana vizuri ushammendea😂 Nimeghairi simuachi sasa😎Hahahahaha...unaniharibia mbn mkuu