Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,291
- 3,989
Wanyaki visa sana.Mnyakyu hakusemi hadharani na ndiyo maana sikuzote wanaonekana ni wenye hekima....atakuhudumia vizuri sana ukirudi kwenu ukose cha kuwasemea
Wanyaki visa sana.Mnyakyu hakusemi hadharani na ndiyo maana sikuzote wanaonekana ni wenye hekima....atakuhudumia vizuri sana ukirudi kwenu ukose cha kuwasemea
Kwa mfano niko pale kama IT support officer, ila mixer watu wa finance wana mizigo yao ya excel umeitwa kwa data entry, hujakaa sawa umetumwa misosi kwa kuwa unaenda nje, mara paap umeonekana kwa mlinzi unatoka anakutuma na maji na vitu kadha wa kadha.😂😂😂😂😂😂😂 Daah bado sijapata maana halisi ya neno mzigoni..
Toa mfano zaidi mkuu.
Isije kuwa hata mimi mda huu nipo mzigoni 😂😂😂😂
Nusu wazaramoWanyaki visa sana.
Nitafanyia kazi mkuu.Okay sio mbaya. Basi we wekaga simu mbali hafu silent afu angusha. Unalala ndani ya dk 15
Nimecheka sana, manake najaribu kuvuta picha fulaniNusu wazaramo
Sisi tunakaa humu ni zamu yetu kulinda server za MaxNitafanyia kazi mkuu.
Daah😅Sisi tunakaa humu ni zamu yetu kulinda server za Max
🤣🤣Nimecheka sana, manake najaribu kuvuta picha fulani
😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Nimeona tuu hapo neno Excel mkuu..Kwa mfano niko pale kama IT support officer, ila mixer watu wa finance wana mizigo yao ya excel umeitwa kwa data entry, hujakaa sawa umetumwa misosi kwa kuwa unaenda nje, mara paap umeonekana kwa mlinzi unatoka anakutuma na maji na vitu kadha wa kadha.
Wote hapa church dodgersSisi tunakaa humu ni zamu yetu kulinda server za Max
Kaka Mimi nime staafu, sasa hivi na observe kuruti wa kumuachia nafasi yangu😄🤓.Mbona mapema, kuna mwamba Intelligent businessman ndio anazima taa kila siku. Analala 7am
😂😂😂😂 Mwenye simu kalala mbona... Yupo fofofoKama ubavu wako unakupenda kweli, hautakuruhusu uingie lindo ukapigwe na baridi; kwa mazingira hayo, wengi waliomo lindo sasa hivi mahusiano yao yana changamoto; kama unabisha nyoosha mkono juu!
Ndo hivo mkuu, sio poa😅😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Nimeona tuu hapo neno Excel mkuu..
Itoshe kusema kweli unaingiaga mzigoni 😂😂😂🙌🙌🙌
Kuruti hali karoti mkuu 😂😂😂Kaka Mimi nime staafu, sasa hivi na observe kuruti wa kumuachia nafasi yangu😄🤓.
Nina wiki sija lala, so wanao utaka ulinzi mkuu, wa apply form tu🤒
Chai.Kama ubavu wako unakupenda kweli, hautakuruhusu uingie lindo ukapigwe na baridi; kwa mazingira hayo, wengi waliomo lindo sasa hivi mahusiano yao yana changamoto; kama unabisha nyoosha mkono juu!
We nae ko excel ndo ikufanye umuogope mtu🤓😂, hio SI IPO hata kwe basic computer mwanzoni😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Nimeona tuu hapo neno Excel mkuu..
Itoshe kusema kweli unaingiaga mzigoni 😂😂😂🙌🙌🙌
Safi mkuu na mimi kuna siku nitaingia mzigoni.😂😂😂Ndo hivo mkuu, sio poa😅
Mtajitetea sana 😀😂😂😂😂 Mwenye simu kalala mbona... Yupo fofofo
Kaka kaka unaijua excel lakini...We nae ko excel ndo ikufanye umuogope mtu🤓😂, hio SI IPO hata kwe basic computer mwanzoni