Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Aisee ntaua mtu🤓😂🤣Kuruti hali karoti mkuu 😂😂😂
Aisee ntaua mtu🤓😂🤣Kuruti hali karoti mkuu 😂😂😂
Inakata kinoma watu hawaheshimu fani za watu😅Safi mkuu na mimi kuna siku nitaingia mzigoni.😂😂😂
Unakuwa singo, unataka uvumbue nini?Chai.
Wengine tupo singo.
😂😂😂😂😂😂 Kuna jukwaa flani hivi we jamaa ukauki salout kwako 😂😂😂😂😂😂😂😂.Mtajitetea sana 😀
Solving those small question ya huyo tunamba ndo uka changanyikiwa 😂🤣🤓.Kaka kaka unaijua excel lakini...
😂😂😂😂🙌🙌🙌
Naigopa maana ilinifanya mbaya kwenye data base aiseeee 🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Sema inabidi upate usingizi wa kutosha mkuuInakata kinoma watu hawaheshimu fani za watu😅
Pata kahawa ukiwa hapo lindoniLong distance relationships....Afu usiku wa manane hatutaki majungu mkuu...fanya yako tuachie yetu...umekuja leo ondoka leo mkuu
Unakuwa singo, unataka uvumbue nini?
Lengo ni kuburudisha, maisha yaweze kusogea; ukiwa siriazi sana unaweza kuhisi dunia si sehemu salama ya kuishi😂😂😂😂😂😂 Kuna jukwaa flani hivi we jamaa ukauki salout kwako 😂😂😂😂😂😂😂😂.
Kama unakusanyaga visa vya mapenzi hivi
Sana, kuna kipindi nilitaka nijàribu dawa za usingizi ila kuna daktari mmoja akanipa side effects zake ikabidi nitemane nazo.😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Sema inabidi upate usingizi wa kutosha mkuu
😂😂😂😂😂 Wee pro jobless unayajulia wapi haya....Solving those small question ya huyo tunamba ndo uka changanyikiwa 😂🤣🤓.
Sija enda shule, but namudu vizuri kiasi chake
Nakubaligi sana maana kila day wee ni visa tuu 😂😂😂😂😂😂Lengo ni kuburudisha, maisha yaweze kusogea; ukiwa siriazi sana unaweza kuhisi dunia si sehemu salama ya kuishi
Weee kuna mpya gani kutoka kwa DSVNAisee ntaua mtu🤓😂🤣
Ni utunzi tuNakubaligi sana maana kila day wee ni visa tuu 😂😂😂😂😂😂
Duuuh inabidi iwe hvo.. fanya upate usingizi wa kutosha hata kwa kufosi...Sana, kuna kipindi nilitaka nijàribu dawa za usingizi ila kuna daktari mmoja akanipa side effects zake ikabidi nitemane nazo.
Nitajaribu kufix ratiba yangu, naona chaguo la mazoezi na kusoma vitabu kama ni mazuri.Duuuh inabidi iwe hvo.. fanya upate usingizi wa kutosha hata kwa kufosi...
Jobless pro max ni asset muhimu Sana, keep observing uki niona list ya ma Jobless bora africa USI shituke🤓😂😂😂😂😂😂 Wee pro jobless unayajulia wapi haya....
Wee ukishajua D1 + D7 wee ushamaliza sio