JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sa11 alfajiri niko macho kila siku, 12 niko njiani kwenda mzigoni kwa siku za wiki, 11 jioni narudi maskani siku imeisha maandalizi ya siku nyingine.
Basi ukirudi home kuanzia saa 12 usikae chumbani. Toka nje piga story, kacheki mpira, fanya jogging, soma kitabu, fanya gym.. afu ukitaka kulala let say saa 5 kamili usiku, achana na simu weka labda tu mziki afu iweke pembeni ata kama usingizi hauji USISHIKE SIMU
 
Nitajaribu mkuu, ila kwenye simu hapo kweli, imeninyima sana nidhamu ya muda mzuri wa kulala, lakini mda mwingine naamua kuperuzi ili walau nivute muda kwani usingizi umekataa kuja.
 
Nitajaribu mkuu, ila kwenye simu hapo kweli, imeninyima sana nidhamu ya muda mzuri wa kulala, lakini mda mwingine naamua kuperuzi ili walau nivute muda kwani usingizi umekataa kuja.
Ukishika simu, ukiwa unaangalia TV au unacheki PC kusinzia sahau. Au fanya hivi, unampigia demu wako simu unaweka simu pemben mnakua mnaongea. Apo utasinzia
 
Mwanangu, huyu mwanaume ukimsumbua au kumwacha basi utafute wazazi wengine ila siyo sisi...kamweshimu...msikilize kwa kila jambo...akikupiga vumilia mwanangu...mwanaume kuwa na wanawake nje ni Kawaida “ (mama mkwe huyo,hapo ujue mwanaume umekamilika kila idara una pesa na mwonekano mzuri)
 
Back
Top Bottom