jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Unalala na lijamaa wewe jinsia gani mkuu?Kuna lijamaa hapa limelala linakoroma kweli mpaka limepelekea/sababisha nishindwe kulala/kupata usingizi.
Linakoroma kweli
Umenipa mashaka ya gafla
Kwa nini akorome kama sio amemaliza kufanya kazi fulani hivi ile ya usiku
Teh