Siishi hostel mimiunatesa wenzako hostel humo😂
Exactly, 😁Hii penseli imechongwa pande zote eeh[emoji6]
Hivi umeelewa hata comment.acha ufala basi burna boy is the king of afrobeats
Tafuta hela mkuu,Dah leo wiki tatu sasa nakesha bila pisi.....wakuu naiomba huruma yenu enyi pisi kali moja tuu kesho twende tukakae meza moja
Dah sasa hapa ni bora kuwa na mkwanja mrefu tuu ili uendelee kuwagegeda tani yakoo aisee wacha mawazo na nguvu nizihamishie kwenye msako wa shilingi kwanzaaTafuta hela mkuu,
Wenye hela hawawezi kosa pisi za kwenda.
Watakosa true love ila sio pisi
right😂Hivi umeelewa hata comment.
Mi naongelea YBNL artists mkuuu, sio afrobeats.
Hiyo sio case kaka, Tatzo ni zile huba maana ni zaidi ya wapejz, ni kama ndugu ni marafiki pia yan kila mwanamke nsejaribu kujipumzisha kwake nqshindwa kusettle naona hafai na hakidhi tena hastahili huu upendo.
mna true love mkuu.... usiwe na wasiwasi mtafika mbali, hii miaka 20+ mliopita pamoja si haba.... kwa jinsi ulivonielezea naona the feeling is mutualHata nikianzisha relation ya mchongo kupoza upwiru nashindwa kuienzi nakua harsh not romantic naamua kuivunja tu upweke unaendelea kunigonga