'sheria mkononi, amani moyoni'Dah leo wiki tatu sasa nakesha bila pisi.....wakuu naiomba huruma yenu enyi pisi kali moja tuu kesho twende tukakae meza moja
Asee hali kama yako huwa naiish akiwa mbali Mama mtu, ila akiwaga available tu natuliaga sanaaaa af nakua serious.dah, mkuu mimi sijawahi kua kwenye mahusiano serious[emoji23]
Mm huwa naona Mahaba ya Mwanamke yana raha yake achilia mbali kutokwa wazungu.'sheria mkononi, amani moyoni'
View attachment 2673676
Hii ni tabu bwana'sheria mkononi, amani moyoni'
View attachment 2673676
sijaelewa mkuu unamaanisha umeoa au....Asee hali kama yako huwa naiish akiwa mbali Mama mtu, ila akiwaga available tu natuliaga sanaaaa af nakua serious.
mara moja moja mkuuHii ni tabu bwana
Sijaoa ila hii relation imelast zaidi ya 20 years nimeish kumpenda uyu bint mpaka tunakua watu wazima sasa.sijaelewa mkuu unamaanisha umeoa au....
[emoji1787]Unashitua ubongo au siomara moja moja mkuu
😁😁😁😁njia salama isiyo na malalamishi,masumbufu wala kubanwa ni kujipangia muda tuu'sheria mkononi, amani moyoni'
View attachment 2673676
dah, kama muvi mzee.... itakua ngumu sana kumuachaSijaoa ila hii relation imelast zaidi ya 20 years nimeish kumpenda uyu bint mpaka tunakua watu wazima sasa.
kama ni tanzania fanya safari kidogo hata ya siku 3 na yeye utamtoa upweke. hata kama alikuwa na mawazo ya kuchepuka atakuona wa thamani.Nina kafeeling kananitesa sana, Naona kama Future inaingia Mitini ila nakua mgum kukata tamaa Coz hanikosei simkosei ila umbali tu ndo unanipa Stress.
Tumewah pishana mazngira mara kadhaa ila kwa vipindi visivyozidi mwaka. Hii ya sasa kali ni kama inakua permanent na kazini hawatoi kibari cha kuhama kisa Kuoa au kuolewa.dah, kama muvi mzee.... itakua ngumu sana kumuacha
Hii kweli akili, ngoja niisubir likizo nijitusuekama ni tanzania fanya safari kidogo hata ya siku 3 na yeye utamtoa upweke. hata kama alikuwa na mawazo ya kuchepuka atakuona wa thamani.
kwani yeye anaonyesha dalili zozote za kukutia hofu??Tumewah pishana mazngira mara kadhaa ila kwa vipindi visivyozidi mwaka. Hii ya sasa kali ni kama inakua permanent na kazini hawatoi kibari cha kuhama kisa Kuoa au kuolewa.
Hapana yuko vizuri kabisakwani yeye anaonyesha dalili zozote za kukutia hofu??
wewe shida ni genye sio😂Hapana yuko vizuri kabisa
Hiyo sio case kaka, Tatzo ni zile huba maana ni zaidi ya wapejz, ni kama ndugu ni marafiki pia yan kila mwanamke nsejaribu kujipumzisha kwake nqshindwa kusettle naona hafai na hakidhi tena hastahili huu upendo.wewe shida ni genye sio[emoji23]