Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,210
- 98,031
sawa sawaMie mwenyewe sitaki member yoyote awe na namba yangu wala mi nisiwe na ya yoyote 😀
sawa sawaMie mwenyewe sitaki member yoyote awe na namba yangu wala mi nisiwe na ya yoyote 😀
sawa sawa0236 hrs Taking Cover
0342hrs0339 hrs PKM
sign out ,unywe supu ,kisha upumzike0448 Mwili legezaaaa🤣🤣
Nimefurahi kukuona.Enhee 😂😂
Mimi pia nimefurahi kukuona 😊Nimefurahi kukuona.
Rudi ukapumzike kijana bado mapema..🤕🥹kwa mara ya kwanza leo nimejaribu street food asee vile vi mishkaki vya mbwa na ndizi mzuzu za kuiva nitamu sana 😋 nikaongezea na muhindi wa kuchoma ulowekewa chumvi pilipili weeh nimeishia kujimumunya
Hey there mchuchu...Rudi ukapumzike kijana bado mapema..🤕🥹
Street food ni kwa wazungu, we sema umekula mishkaki na mzuzu.kwa mara ya kwanza leo nimejaribu street food asee vile vi mishkaki vya mbwa na ndizi mzuzu za kuiva nitamu sana 😋 nikaongezea na muhindi wa kuchoma ulowekewa chumvi pilipili weeh nimeishia kujimumunya
wakishuakwa mara ya kwanza leo nimejaribu street food asee vile vi mishkaki vya mbwa na ndizi mzuzu za kuiva nitamu sana 😋 nikaongezea na muhindi wa kuchoma ulowekewa chumvi pilipili weeh nimeishia kujimumunya
hahahahahahakwa mara ya kwanza leo nimejaribu street food asee vile vi mishkaki vya mbwa na ndizi mzuzu za kuiva nitamu sana 😋 nikaongezea na muhindi wa kuchoma ulowekewa chumvi