Vaa barakoa, huko ugenini watu wanakufa kama kuku, tofauti na TZ, chukua tahadhariKuomba Mungu ni jambo la muhimu sana wakati wote hasa zaidi kipindi hili cha COVID-19. Kusafiri kumekuwa na changamoto kubwa sana. Naamini Mungu yu pamoja nami na atatunifikisha salama
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe ulevi wako mwingine ni mpira ni vyema nimejuaKuna games na games zinazonipeleka cool bar, nyingine nafatilia tu live score. Bar nazoingia isiwe na makelele sanaa na pia isiwe na watu wengi.
Okey sawa, utafika salama tu, utanitumie inbox links,, ubarikiweKuna TV flani ya series sema laptop nimeifunga. Ninaomba nikifika nikujulishe bro. After 2hrs ntakuwa nimefika.
Mambo ya wito kaka, sahivi kila kazi inataka wito, sio upadri tu au uwalimuInawezekana bro. Lakini hizi kazi za ujenzi wa Taifa zinahitaji zaidi moyo kuliko maslahi. Mbona sisi tupo hapa muda huu.
He he![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe ulevi wako mwingine ni mpira ni vyema nimejua
Pole PA ya juu. 😀Mimi jambo likinitokea moyo huwa unauma we acha tu, lakini nashukuru nimeanza kupata relief [emoji18], muda sio mrefu nitaamka kwa amani
Bro huku bila barakoa hupati huduma hata dulani ni lazima uwe nayo. Tushazoea sasa maana imekuwa ndio maisha yenyewe.Vaa barakoa, huko ugenini watu wanakufa kama kuku, tofauti na TZ, chukua tahadhari
Sure bro, will doOkey sawa, utafika salama tu, utanitumie inbox links,, ubarikiwe
Kabisa bro kila kitu kinahitaji ujitoe kweli kweli otherwise outcomes zitakuwa ni zeroMambo ya wito kaka, sahivi kila kazi inataka wito, sio upadri tu au uwalimu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu mwamba atakuwa kapitiwa leo.Kichwa Kichafu Leo maajabu umelala mida hii.
Akionekana msalimie.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu mwamba atakuwa kapitiwa leo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1650353He he! [emoji38] alooo
ZimefikaAkionekana msalimie.
Atletico mbona watakaa vzuri tu,Eti wametupangia kucheza na A. Madrid UCL. Badala uisikitikie team yako imepewa team ngumu we unaisikitia Arsenal? Unachekesha
Ulibet? Safi sana.Atletico mbona watakaa vzuri tu,
AF katka timu zilizokuwa zmebaki hakuna timu ambayo ilikuwa rahisi me naona n angalau hata hao Atletico
Anachoniumiza Arsenal dada yangu @ ameondoka na pesa ambayo nngekula xmass na mwaka mpya na chenji ingebaki😥
540k kasepa NATO😥🚶🚶🚶