win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,956
- 37,363
poaa kwema?Binti mambo
poaa kwema?Binti mambo
sa hapo nimekuchamba kweli?Dooh, basi ipi nzuri mama wa michambo?
Yaani kisa natumia deodorant ya buku 5 tu, sawa aiseesa hapo nimekuchamba kweli?
bora yako, mwenzio natumia limao hiyo buku 5 tu sinaYaani kisa natumia deodorant ya buku 5 tu, sawa aisee
Hahahaha, limau kupaka kwapani? Hiyo kalibora yako, mwenzio natumia limao hiyo buku 5 tu sina
ndo hivyoHahahaha, limau kupaka kwapani? Hiyo kali
Sio kweli"JF ban haichagui umaarufu. Unaweza kuwa legend wa miaka kumi, lakini kosa la dakika moja likakutoa kwenye game."
Mwamba ni shabu! Kuna binti alikua akipita nasikia harufu kali halafu ye mwenyewe hajijui.bora yako, mwenzio natumia limao hiyo buku 5 tu sina
Shabu ndo nini? 😂Mwamba ni shabu! Kuna binti alikua akipita nasikia harufu kali halafu ye mwenyewe hajijui.
Nikamuita nikampa jiwe la shabu nikamwambia atumie baada ya siku 3 anirudishie jiwe langu.
Sasa hivi akipita sisikii harufu yoyote.
Kwema mekumisoopoaa kwema?
Jiwe la maajabuShabu ndo nini? 😂
Aisee.Jiwe la maajabu
hiyo Shabu ndo naiskia leo asee, kwahiyo alirudisha au aliondoka nalo mazimaMwamba ni shabu! Kuna binti alikua akipita nasikia harufu kali halafu ye mwenyewe hajijui.
Nikamuita nikampa jiwe la shabu nikamwambia atumie baada ya siku 3 anirudishie jiwe langu.
Sasa hivi akipita sisikii harufu yoyote.
senkiyuuu mi toooKwema mekumisoo
Sawa maa msalimie mtoto wetusenkiyuuu mi tooo
Alirudisha.hiyo Shabu ndo naiskia leo asee, kwahiyo alirudisha au aliondoka nalo mazima
Tumeshakubaliana anaanza Razor unafata wewe me nitafunga😃😃Tag ya Leo ; Razorblade na Selikavu huu mwaka tumewasamehe mwakani In Shaa Allaah mwaka usiishe bila kuoa
Sio kipochi kuwa na heshima ni kibegi changu , na muandiko ni wangu sina Manzi Mimi , jinsi nilivyo na usongo wa Maisha napata wapi muda wa kuwa na Manzi , kumuita baby sijui my na kumCare ?😆😎View attachment 3694145
Hiko ni kibegi changu Cha Mitikasi kila sehemu nipo nachoView attachment 3694148