Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
I repeat one man down, I repeat one man down over...... π π π π[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe una vurugu hivi kupokea posho, unafanya shopping [emoji1622] ya nini leo ndugu yangu kama nakuona unaanza na sneakers [emoji148] kali hivi, aisehhh unapotea sana lindo leo tujaribu kutoboa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Good good kama upo leo unatia kambi sio niambie umejikunyata au unakula bataNimesali leo
Sina usingizi
Hebu anza basi, halafu October si ndiyo hii sasaHivi humu hakunaga watu wa kutoa dedication song jamani[emoji849]..mbona naitamani [emoji848]
Acha watumike ππππWanatumika na ccm sana hao achana nao
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unapenda mwenyeweOoh Lord..
Ubarikiwe wewe na uzazi wako
[emoji847]
Young killer alisema "mastar wenye nyota ya pipi huwa ndio wananyonywa siku zote"Wanatumika na ccm sana hao achana nao
Umepotea mzee wanguNipo kiongozi naimarisha lindo
Hiyo mitaa ilikua yangu sana kipindi cha chuo, hivi ndiyo mitaa yako sahivi nije kukubeba hapo[emoji23][emoji23]
Naja nipo kwa azizi Ally dk chache nitakuwa hapo
sawa nimekuelewa kunywa Club soda basi π π πunataka nipate kisukari
Mambo yameshakua plenty [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Atengeneza mwili nimechoka kuwa skinny [emoji18] [emoji18]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ngoja ni mute [emoji349],hahhaaaaaa una reputation inaonekana bro hhahaaa
Mwaka unaisha huu siunaona watu wako busy nauchumi wa kati πMambo yameshakua plenty [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hii ni mission gani kijana wangu, naona kama ukungu nashindwa kujua adui yupo wapi nashtua kila kona,I repeat one man down, I repeat one man down over...... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Wanafaida kwa ccm waliokosa usingiziAcha watumike [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Adui wangu ni simissHii ni mission gani kijana wangu, naona kama ukungu nashindwa kujua adui yupo wapi nashtua kila kona,
naona ulikua unasoma TIAHiyo mitaa ilikua yangu sana kipindi cha chuo, hivi ndiyo mitaa yako sahivi nije kukubeba hapo
nunua tu bitter lemon πsawa nimekuelewa kunywa Club soda basi π π π
Nakukubali sanaa haka kadogo nasikiliza nyimbo zake kimtindoYoung killer alisema "mastar wenye nyota ya pipi huwa ndio wananyonywa siku zote"
hahhaaaaaa mimi pia sielewiHii ni mission gani kijana wangu, naona kama ukungu nashindwa kujua adui yupo wapi nashtua kila kona,
Vitu vichungu sinywi mm natamani hata dawa zingekuwa na sukari kama zile za watoto ningekuwa najiover dose.nunua tu bitter lemon π
leo hadi najihisi kama ndo mara ya kwanza kuwa humu