adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,600
- 39,935
Dah ! hii kweli nilivyokua mkubwa nimeamini , Kuna wakati ni kweli unaishi ili siku ziende hauna matumaini wala future kabisa
Dah ! hii kweli nilivyokua mkubwa nimeamini , Kuna wakati ni kweli unaishi ili siku ziende hauna matumaini wala future kabisa
Hiyo misemo tu , Kuna wakati unapigwa dark to dark mwanzo mwisho bandika bandua hakuna break 😂After every dark night, there's a brighter day
~Tupac Shakur
Ndio nilikuja kariakoo kuleta mzigo😎Wewe si upo Atlanta Georgia ?
Hakuna shida inayo baki mileleHiyo misemo tu , Kuna wakati unapigwa dark to dark mwanzo mwisho bandika bandua hakuna break 😂
Unapiga nyetoh mpaka mafanikio yaani una Visualize kabisa upo USA 😆Ndio nilikuja kariakoo kuleta mzigo😎
Nyeto ni mwiko. Kaza kijanaUnapiga nyetoh mpaka mafanikio yaani una Visualize kabisa upo USA 😆
Nakubali sababu shida za Duniani mwisho wake ni Kifo tu , na kifo kila mtu atapitiaHakuna shida inayo baki milele
Mimi napinga Chaputa n sio Chaputa ni Mzee wa NofapNyeto ni mwiko. Kaza kijana
Kwanini ukate tamaa.Nakubali sababu shida za Duniani mwisho wake ni Kifo tu , na kifo kila mtu atapitia
Sijakata tama nimeongea uhalisia , sio guarantee kuwa lazima ufanikiwe kisa umeteseka au kupambana sana kufeli kupo tu sometimes inatokea regardlessly .Kwanini ukate tamaa.
I find this amusing.. 😆Wameshajua siku hizi hawasemi tena😆
Una uhakika?Ila ephen bwana Unaota mtu na humjui?
Siwezi kutulia hadi unipeleke nikale mazagazagaUmemiss kachori? Ndoto za mchana Huwa ni za shibe tu, umeshiba nini Leo mchana, 🤣mshauri mwenza
Nimesha jua mnajuana. Jf hakuna asiye tambulikaUna uhakika?
sikukutelekeza bhana sema tuliingia underworld.Mgosi umeenda wapi leo umenitelekeza mwenyewe hapa njoo ujibu maswali yangu ya jana!
Cc: MgosiMnubi
Underworld ni wapi? Naenda ndio, saa 5 ile usilale utalala saa nane sawa?😁sikukutelekeza bhana sema tuliingia underworld.
Ila Leo tutakiwasha si hauendi weekend na wewe ???
Ndo ofisini kwetu uko,tunakotoa hayo makaa au tuite chini ya udongo ndo imekaa kiunyama au cio?!Underworld ni wapi? Naenda ndio, saa 5 ile usilale utalala saa nane sawa?😁
Kwahiyo kumbe namimi nitakuwa naingia huko ili nife si ndio? Siwezi!Ndo ofisini kwetu uko,tunakotoa hayo makaa au tuite chini ya udongo ndo imekaa kiunyama au cio?!
NaKunywa nikiwa mzigoni, halafu mi sinywi hizo apple cider naziona kama apple punch tu😁aaaah!wewe ndo umepanga kunitelekeza Sasa ,Kama izo brutal si utanywea hapa hapa na wewe😔
Umejua kwa kuchelewaNimesha jua mnajuana
Ni kweli, ila Nimejua.Umejua kwa kuchelewa