JamiiForums Usiku wa manane

Nafuatilia pambano la Westgarth na Spelman ili kesho niandike uzi juu ya hili pambano.

Kwa kawaida nikiwa na stress hua naandika sana nyuzi
 
Nipo Nam'tazama kwa jicho la tatu Bwana Delvin Weed anavyowanyakua Kwa Maneno Matamu "Street Hookers"...
 
Sasa mkuu mbona wewe hujaandika kitu ambacho kinakufanya hujalala mpaka saa hizi?? Halafu unatutataka tueleze kwanini hatujalala? Acha kutufokea mkuu[emoji16]
[emoji23][emoji23]
 
Visodo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Anyway, nilishawahi kununuliwa and I felt so good. Inatia faraja na raha kuona mpenzi / rafiki yako anakujali πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…