Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Good Morning!
Bye all
Bye all
Yeah, ni huyohuyo. Hakikisha unanikumbusha. Hiyo siku nainunua kabisa.Oohhh....alikuwa chiq....
Hapana aisee huo uchoro...pre ya miezi 6 sijawahi sikia....
Save the day....usije sema hukupewa notice...book na ticket anga zikifunguliwa...[emoji6][emoji6]
Poa mkuu. Uwe na siku njemaBye all
Sawa ila kinyonge sana.Hiki kiswahili kimenikumbusha mbali....
Kama hivi....
Teh teh...kama vile naona Third Wave ya Covid-19 ikikwamisha....tuombeee VaccYeah, ni huyohuyo. Hakikisha unanikumbusha. Hiyo siku nainunua kabisa.
Happy Friday....ukibarikiwa kuiona.Na lindo limefungwa rasmi. Muwe na siku njema.
Huu utaratibu umeanza lini ? Wa kufunga lindo watu wakiwa wanalinda ?Na lindo limefungwa rasmi. Muwe na siku njema.
Sio poa yaani. Hapa yenyewe nimeimaind kinoma. Kukaa ndani miezi 3 si kitoto.Teh teh...kama vile naona Third Wave ya Covid-19 ikikwamisha....tuombeee Vacc
Tuache sisi tukamilishe uumbaji wa molaNaendelea kutimiza wajibu.......
Samahani mkuu. Ulipotea nikawa sioni wa kumkabidhi silaha [emoji23][emoji23][emoji23]Huu utaratibu umeanza lini ? Wa kufunga lindo watu wakiwa wanalinda ?
Nimewaacha.Tuache sisi tukamilishe uumbaji wa mola
Kumbe kipyenga cha ngwe ya pili kishalia? Wakubwa wanafaidi sana.Tuache sisi tukamilishe uumbaji wa mola
Nipo hapa kaskazini mashariki mwa getu, leta silaha hiyo niendeleze kilicho nileta hapa.Samahani mkuu. Ulipotea nikawa sioni wa kumkabidhi silaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbaya imeshazoeleka....mpaka kutoka unaogopa....acha tupate vitamin D sasa....Sio poa yaani. Hapa yenyewe nimeimaind kinoma. Kukaa ndani miezi 3 si kitoto.
Nina kama masaa ma2 nifike Friday. Enjoy weekend yako. See you later.Happy Friday....ukibarikiwa kuiona.
Nje ya mstari....uko.Kumbe kipyenga cha ngwe ya pili kishalia? Wakubwa wanafaidi sana.