fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,874
- 24,482
Pamoja sana mkuuHahah Sawa mkuu. Nimekusoma vyema. Kila la kheri katika safari yako.
Pamoja sana mkuuHahah Sawa mkuu. Nimekusoma vyema. Kila la kheri katika safari yako.
Hawezi kuibiwa hata kwa uongo.Kaibiwa
KhaaNimerudi.
Karibu mkuuNimerudi.
Bibie kwemaKhaa
Imekuwaje ?Khaa
Mida ya morning glory hii😄😄Lindo leo lipo doro sana. Hawa viumbe Depal chiqutitta nk mida yao hii ya halftime.
Salama , sijui wewe?Bibie kwema
Nimekaribia mzee, nimekuja kushika hatamu.Karibu mkuu
Yaani wewe....Khaa
Kuna watu wanafaidi sana dunia hii. Sisi tupo lindoni hapa. The world is unfair kabisa.Mida ya morning glory hii[emoji1][emoji1]
I miss you baby Chiquitita [emoji8][emoji8]
Sio hatamu bali kufunga lindo, time is upNimekaribia mzee, nimekuja kushika hatamu.
Yaani wewe....
Niko poa. Nimefurahi umeamka kwa mapumziko mafupi.Salama , sijui wewe?
Hahaha fanya haraka uvute jiko ndani😀😀Kuna watu wanafaidi sana dunia hii. Sisi tupo lindoni hapa. The world is unfair kabisa.
Siri yetu..Kafajaje wewe? Jamani...
Hata sijalala bado....ndio nafikiria kulala.Niko poa. Nimefurahi umeamka kwa mapumziko mafupi.
Huku nilipo, ndiyo muda wa lindo sasa.Sio hatamu bali kufunga lindo, time is up